Unordered List

Definition List

Hivi Corazon Kwamboka Ndiye Dada Mwenye Makalio Makubwa Afrika!?

Nimekuwa nikipitia pitia kwa mitandao tofauti nikisoma habari kuhusu huyu wakili Corazon Kwamboka na jinsi waandishi tofauti wa blogs wana maoni kumhusu.


Well, yaonekana kuwa Corazon Kwamboka ndio jina jipya na latest katika blogsphere. Infact amekuwa akipigwa darubini kuanzia blogs za afrika mashariki hadi za afrika magharibi.

Kuhusu nani ndiye mwenye makalio makubwa Corazon Kwamboka amechukua nafasi ya kwanza huku blogs nyingi za afrika magharibi zikimpa jina 'the lady with the biggest UKWU in Afrika.

Hii ni kuonyesha kuwa Corazon sahizi amevuka level nyingine. Lawyer, model na socialite zote kwa wakati mmoja.

Dada aliyeaminika kuwa na makalio makubwa afrika Matilda Hipsy wa Ghana naona kesi yake ishatupiliwa mbali manake huyo ndiye awali alikuwa akiiongoza himaya ya kuitwa big booty lady.

Cheki picha za Corazon halafu umpime




Hivi Corazon Kwamboka Ndiye Dada Mwenye Makalio Makubwa Afrika!? Hivi Corazon Kwamboka Ndiye Dada Mwenye Makalio Makubwa Afrika!? Reviewed by Admin on Thursday, October 02, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.