Unordered List

Definition List

Picha 7 Za Bikini Za Corazon Kwamboka Ambazo Zitakuzuzua Akili

Corazon Kwamboka aka lilythegenie anazidi kuimaintain himaya yake kwa kuwa na shepu inayoaminika kuwa bora zaidi jijini Nairobi. Hata wengine waliojaribu kuiga mitindo yake ya kupiga picha na kuweka makalio feki walianguka vibaya.

Tukiongea makalio feki, Corazon ashajitenga na kundi #teammakaliofeki ambayo imejaa mastaa kama vile akina Vera Sidika na Aunty Lulu kwa kupiga picha yake ya uchi mnyama sehemu yake ya nyuma.

Katika collection tuliokusanya hapa tumeweza kupata picha 7 za Corazon akiwa amevalia bikini. Amemfikia Kim Kardashian kweli?

Cheki picha zenyewe













Picha 7 Za Bikini Za Corazon Kwamboka Ambazo Zitakuzuzua Akili Picha 7 Za Bikini Za Corazon Kwamboka Ambazo Zitakuzuzua Akili Reviewed by Admin on Thursday, July 03, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.